MFUKO WA WATOTO

Madhumuni:

Mfuko huu ni mpango uliowazi kwa watoto unaokusudiakukuzamtajikwamuda mrefukupitiauwekezajiwamsetokwakuwekezakwenyehisazilizoorodheshwakwenyesoko lahisanadhamana.

UmriwaMtotowaKujiunganaMfuko:Uwekezajiunafanywakwajinalamtotoaliyechini yamiaka18. NaniAnaruhusiwaKuwekeza:Mfukoukowazikwawatanzaniawaliondaninanjeyanchikamawatubinafsi,makampuni/taasisi,mabenki,asasizakiraia(NGO)n.k.Uwekezajiufanywe kwamanufaayamtoto.

UwianowaRasilimali(AssetRatio): Mfukoutawekezakatikauwianoufuatao (a)Dhamana(Debt)0%–100%,na(b)Hisazilizoorodheshwa0%-50% •

ChaguolaMpangowaUwekezaji: Mfukounatoafursambilizauwekezaji -(a)Malipoya adayamasomo(Scholarship), na(b)Ukuajiwamtaji KiwangochaChinichaKuwekeza:(a)KiwangochachinichakuwekezaniSh.10,000;na (b)KiwangochachinichauwekezajiwanyongezautakuwaSh.5,000.Hatahivyohakunakima chajuuchakuwekeza.

Ukwasi:Uuzajiwavipandevyote/sehemuyavipandevilivyowekezwaunaruhusiwapalemtoto mnufaika(beneficiarychild)anapotimizamiaka12(wastaniwaumriwakujiunganaelimuya sekondarinchini).Hatahivyouuzajiwavipandevyote/baadhiyavipandeunawezakuruhusiwa paleinapolazimu,mfanomahitajiyafedhakwaajiliyamatibabu(hudumayaafya)kwaajiliyamtotomnufaikaaukwaajiliyasababunyingineyamsingi.

MudanaUkomowaMfuko:JapokuwaMfukohaunaukomo,mwishowauwekezajikwaajili yamtotoutafikiapaleatakapotimizaumriwamiaka24.