Investment Assumption Calculator

KIKOKOTOO CHA UWEKEZAJI KWA MWEZI
Kikokotoo hiki kinakusaidia kujua faida utakayoipata kwa uwekezaji wa kila mwezi. Utaweza kukadiria ongezeko la fedha zako katika mpango wa uwekezaji wa mwezi kwa kutumia kiwango (%) cha faida kinachotarajiwa kwa mwaka.
Kikokotoo
Matokeo
MPANGO WA UWEKEZAJI KWA MWEZI
Hii ni njia inayokusaidia kufanya mahesabu ya pesa unazopanga kuwekeza kila mwezi na matarajio ya faida yake kwa kipindi fulani (mwaka/miaka). Kwahiyo unaweza kupanga kiasi cha kuwekeza kila mwezi, matarajio ya mapato na muda wa uwekezaji.
Mpango
Matokeo
KIKOKOTOO CHA UWEKEZAJI WA MKUPUO
Kikokotoo hiki kinakusaidia kufahamu au kukisia mapato/faida utakayopata kutokana na uwekezaji wa mkupuo. Hivyo unaweza kukadiria ongezeko la fedha zako kwa uwekezaji wowote uliofanya wa mkupuo kwa kutumia kiwango (%) cha faida kinachotarajiwa kwa mwaka na muda (mwaka/miaka) uliochagua kuwekeza.
Kikokotoo
Matokeo
MPANGO WA UWEKEZAJI WA MKUPUO
Njia hii inakusaidia kukisia mapato/faida ya fedha unazotarajia kuwekeza kwa mkupuo kwa mda unaopanga kuwekeza. Kwa maana hiyo unaweza kupanga kiwango cha fedha cha uwekezaji wa mkupuo na kukadiria faida yake kwa kipindi hicho unachotarajia kuwekeza.
Mpango
Matokeo