Mpango wa uwekezaji kwa Mwezi
Hii ni njia inayokusaidia kufanya mahesabu ya pesa unazopanga kuwekeza kila mwezi na matarajio ya faida yake kwa kipindi fulani (mwaka/miaka). Kwahiyo unaweza kupanga kiasi cha kuwekeza kila mwezi, matarajio ya mapato na muda wa uwekezaji.

