Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Bw. Nicodemus D. Mkama akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Uwekezaji wa Hatifungani (BOND Fund) wa kampuni ya UTT Amis,uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha  Julius Nyerere jijini Dar es salaam.