Mfuko wa wazi wa mapato ya kudumu ambao unawekeza katika Hati Fungani za Serikali, makampuni na katika masoko ya fedha. Mfuko unalengo la kutoa gawio, kulingana na faida itakayopatika na kukuza mtaji kwa wawekezaji wa mudamrefu. Kiwango cha chini cha kuanzakuwekeza:

(a) Shilingi 50,000 kwa mpango wa kukuza mtaji;

(b) Shilingi milioni 10 kwa mpango wa gawio kilamwezi; na

(c) Shilingi milioni 5 kwa mpango wa gawio kila baada ya miezi sita

Nyongeza kwa mipango yote mitatu iliyoorodheshwa hapo juu ni shilingi 5000 au zaidi.