Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James akimpongeza Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Bw. Nicodemus D. Mkama mara baada ya uzinduzi wa Mfuko wa Uwekezaji wa Hatifungani (BOND Fund) wa kampuni ya UTT Amis, wa pili kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya UTT-AMIS, Bw. Simon Migangala na Mwenyekiti wa Bodi ya UTT Amis Bw. Casmir Kyuki.