Dira
kuendelea kuwa mshirika hakika na wa kuaminika katika uwekezaji utakaoleta mabadiliko chanya kwenye maisha ya watu.
Dhima
Kutoa huduma zenye ubunifu , faida na ufanisi utakaokidhi matarajio ya wadau.
MisingiYetu
Uwazi: Tunazingatia uwazi katika shughuli zote za uwekezaji.
Uaminifu na Uadilifu: Tunafanya shughuli zetu za uwekezaji kwa uaminifu na uadilifu wa hali ya juu.
Kanuni za Kazi: Tunafanya kazi kwa pamoja ili kuhakikisha tunatoa huduma bora kwa wawekezaji wetu.
Heshima: Tunathamini watu kwa usawa na haki.
Ufanisi: Tunafanya kazi kwa juhudi ili kutoa huduma kwa ufanisi wa hali ya juu.
Wajibu Kwa Jamii: Tunashiriki katika shughuli za maendeleo ya jamii.