Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Bw. Nicodemus D.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James akimpongeza Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) Bw. Nicodemus D.
 Waziri Mkuu akifungua kikao kazi cha Maofisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kilichofanyika Mwanza katika ukumbi wa Benki kuu.
Kampuni ya Uwekezaji ya UTTAMIS inashiriki katika maonyesho ya kimataifa ya biashara ndani ya banda la Wizara ya Fedha na Mipango.
Mkutano wa mwaka (AGM) kwa wawekezaji wa Mifuko ya uwekezaji wa pamoja